Mkuu wa Idara ya habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro (kulia) akiwa na kiungo mshambuliaji wa kalbu hiyo Andrey Coutinho usiku huu uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere Dar es salaam tayari kuanza safari ya kwenda kuwafuata Etoile du Sahel.
Etoile na Yanga zitachuana jumamosi ya wiki hii katika mechi ya marudiano ya hatua ya 16 bora na mchezo wa kwanza Dar es salaam walitoka sare ya 1-1.
Yanga wanahitaji ushindi au sare ya kuanzia 2-2 ili kusonga mbele moja kwa moja.
Kinara wa magoli ligi kuu soka Tanzania bara, Simon Msuva (katikati) akiwa na Jerry Muro (kulia). Msuva ni miongoni mwa wachezaji wanaotegemea na 'Babu' Hans van der Pluijm.
0 comments:
Post a Comment