Wednesday, April 29, 2015


MARASHI ya ubingwa yanukia zaidi Stamford Bridge baada ya Chelsea kutimiza pointi 80 usiku huu kutokana na ushindi wa ugenini wa magoli 3-1 dhidi ya Leicester City.
Albrighton akifunga goli

Leicester walianza kuandika goli la kuongoza dakika ya 45' kupitia kwa Marc Albrighton akipokea pasi ya Jamie Vardy na timu hizo zilikwenda mapumziko wenyeji wakiongoza kwa goli hilo 1-0.
Drogba akifunga goli la kusawazisha

Kipindi cha pili kilianza kwa Chelsea kufanya mipango ya haraka na dakika ya 48' gwiji wa klabu hiyo, Muivory Coast, Didider Drogba amefunga goli la kusawazisha akimalizia pasi ya beki mahiri Branislav Ivanovic.
Terry akifunga goli lake

Chelsea wenye nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa msimu huu waliandika goli la pili dakika ya 79' kupitia kwa nahodha wake, John Terry akipokea pasi ya Gary Cahil.
Kuingia kwa goli hilo kukawapa mzuka zaidi Chelsea na katika dakika ya 83' Ramires akafunga goli la tatu akimalizia pasi ya Cesc Fabregas.
Licha ya ushindi, pia takwimu za mechi zinaonesha kuwa Chelsea wamecheza mpira mkubwa wakimiliki kwa asilimia 62 dhidi ya 38 za Leicester.
TAKWIMU ZA MCHEZO HIZI HAPA

statistics :
2
shots on target
4
5
shots off target
6
38
possession (%)
62
2
corners
6
4
offsides
3
10
fouls
1
1
yellow cards
0
4
goal kicks
9
1
treatments

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video