Baada ya taarifa za kuzushiwa kifo mtandaoni siku ya Jana, msanii wa muziki Hussein Machozi ameongea na mashabiki wake na pia watumiaji wa mitandao juu ya maadili na pia mipaka ya taarifa wanazosambaza bila ya kuwa na uhakika.

Msanii wa bongofleva Hussein Machozi
Hussein Machozi ambaye ni mzima wa Afya, amesema kuwa mpaka sasa taarifa hizo zimemuathiri binafsi, kushindwa kutoka siku ya leo na vilevile kupelekea mama yake mzazi kuumwa presha na pia dada yake kuumwa na hapa anaeleza.


0 comments:
Post a Comment