Friday, April 3, 2015


Baada ya kiwango bora kilichooneshwa na klabu ya Arsenal mwezi machi katika ligi kuu nchini Uingereza,kocha na mshambuliaji wa klabu hiyo wamezibeba tuzo za mwezi za ligi hiyo.
Giroud amepewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi baada ya kufunga magoli matano katika mechi nne za ligi alizocheza katika mwezi huo.
Kwa upande wa Wenger,amepewa tuzo ya kocha bora wa mwezi Machi mara baada ya kukiongoza kikosi chake kuchukua pointi zote 12 katika mechi 4 za ligi walizocheza ndani ya mwezi huo
Hata hivyo kulikuwa na uwezekano mkubwa kwa mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwa mara ya 3 mfululizo kwani na yeye alifunga magoli matano ndani ya mwezi huo lakini Giroud amechaguliwa kwa kigezo cha kufunga kila mechi aliyocheza mwezi machi.
Endapo Harry Kane angefanikiwa kuchukua tuzo hiyo mwezi huu angekuwa mchezaji wa kwanza kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi mara 3 mfululizo.
Arsenal ambayo inashika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 1 nyuma ya Manchester City, wikiendi hii itaikaribisha Liverpool katika uwanja Emirates katika mchezo wa ligi kuu nchini humo .

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video