Monday, April 20, 2015


“Ni wazuri lakini si kwamba walituzidi sana, isipokuwa ni makosa ya kimpira madogomadogo ya uwanjani ndiyo yalisababisha sare, kwa hatua hiyo hatuwezi kusema kwamba tumetoka, hatuwezi kukata tamaa, huu ni mpira na lolote linaweza kutokea hata huko kwao, tutakwenda Tunisia kupambana na tutafanya maajabu,” amesema Ngassa.


Kwa upande wa Msuva, amesema: “Jamaa siyo wabaya, kiuwezo ni wa kawaida, hauwezi kusema kama kwa matokeo haya, ndiyo tumetoka, bado tunataka kusonga mbele na morali hiyo tunayo, tutakwenda kwao kucheza mpira na kuhakikisha tunavuka hapa tulipo.”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video