Mechi ya kwanza ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na Etoile Sportive du Sahel kutoka Tunisia iliyochezwa uwanja wa Taifa Jumamosi imeingiza Tsh. 231 milionii.
Mapato hayo yametokana na watazamaji takriban 36,000 waliokata tiketi kushuhudia pambano hilo.
Kiasi hicho ni pungufu ya mapato yaliyopatikana mwaka jana wakati Yanga ilipocheza na Al Ahly na kuingiza jumla ya milioni 488. Pia ni pungufu ya kiasi kilichopatikana mwaka 2011 Yanga ilipocheza na Zamalek na kukusanya jumla ya Tsh. 287 milioni.

0 comments:
Post a Comment