Friday, April 10, 2015


Cristiano Ronaldo amefutiwa kadi ya njano ambayo alipewa kwenye mchezo dhidi ya Rayo Vallecano ambapo sasa anatarajiwa kuwepo mchezo ujao dhidi ya Eiber utakaochezwa mwishoni mwa wiki hii.
Ronaldo ambaye ndiye mchezaji bora wa dunia kwa sasa alipewa kadi hiyo mara baada ya kujiangusha wakati akikabwa na beki wa Rayo Vallecano Antonio Amaya katika eneo la Penati, akini hata hivyo timu yake iliibuka na ushindi wa magoli 2-0.
Kocha wa Madrid Carlo Ancelotti amekasirishwa sana na kitendo hicho huku akisema maamuzi yaliyofanywa yalikuwa ni ya kushangaza sana na kumsababishia Ronaldo kupewa kadi ya njano tangu kuanza kwa msimu.
Hata hivyo Madridi waliamua kumuunga mkono kocha wao kwa kuikatia rufaa kadi hiyo, ambapo maamuzi ya rufaa hiyo yamefanywa na kamati ya mashindano.
Kwa mantiki hiyo sasa Ronaldo anatarajiwa kuanza ambapo Madrid watakuwa nyumbani katika uwanja wao wa Santiago Bernabeu dhidi ya Eibar, huku James Rodriguez na Toni Kroos wakiendelea kutumikia adahbu zao.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video