Friday, April 10, 2015

Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
'Yanga imeing'oa Platinum FC kwa kuifunga jumla ya mabao 5-2 katika hatua ya kwanza bya michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.'
KATIKA kile kinachoonekana kama kujiosha kwa mashabiki wao kwamba hawajang'olewa katika michuano ya kimataifa mwaka huu dhidi ya timu ndogo, Platinum FC imeipongeza Yanga SC kwa kupata ushindi mkubwa wa mabao 8-0 dhidi ya Coastal Union FC.
Yanga SC, mabingwa mara 24 wa Tanzania Bara, waliwanyuka mabingwa hao wa 1988 mabao 8-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Bara msimu huu iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini hapa juzi.
Katika ukurasa wao wa twitter, Platinum FC waliweka taarifa ya kuipongeza Yanga SC muda mfupi baada ya mechi, huku wakidai Yanga SC ni marafiki wao wapya.
Taarifa yenyewe hiyo hapo chini:-
FC Platinum @FCPlatinum  ·  Apr 8
Meanwhile in Tanzania
Young Africans 8:0 Coastal Union
Congrats to our new friends   

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video