Wednesday, April 1, 2015

NYOTA watatu wa Yanga wametupwa nje ya msafara wa klabu hiyo unaokwenda nchini Zimbabwe kuwakabili FC Platinum katika mechi ya marudiano ya kombe la Shirikisho itayopigwa jumamosi ya wiki hii.
Nyota hao ni Jerryson John Tegete, Andrey Coutinho na Kpah Sherman.
Sherman na Coutinho wanasumbuliwa na majeruhi, wakati naye Tegete ana matatizo ambayo hayajawekwa wazi.
Mbrazil Coutinho amekaa nje kwa takribani wiki 5, lakini ameshaanza mazoezi jana na afya yake inaonekana kuimarika, ingawa hawezi kucheza jumamosi na ndio maana ameachwa.
Yanga inasafiri ijumaa kwenda Zimbabwe na itafanya mazoezi siku hiyo jioni na kucheza mechi kesho yake.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video