Wednesday, April 1, 2015

MSAFARA  wa wachezaji 24 wa kikosi cha Simba na viongozi sita unaondoka leo kwa basi kuelekea mkoani Shinyanga tayari kwa mechi ya ligi kuu itayopigwa jumamosi uwanja wa CCM Kambarage dhidi ya wenyeji Kagera Sugar.
Msemaji wa Simba, Hajji Manara amesema wanakwenda Shinyanga kutafuta pointi tatu na lazima wazipate kwa gharama yoyote.
Wakat huo huo kocha mkuu wa Simba, Goran Kopunovic amewatahadharisha wachezaji wake kuongeza umakini kutokana na ubora wa Kagera Sugar.
"Kagera Sugar ni timu bora, ni muhimu kucheza kwa umakini, lakini pointi tatu muhimu". Amesema Kopunovic.
Desemba 26 mwaka jana Simba ilifungwa bao 1-0 na Kagera Sugar na ndio ilikuwa mwisho wa kocha Mzambia, Patrick Ackson Phiri.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video