ZLATAN Ibrahimovic ni hatari aisee! hivi ndivyo inastahili kusemwa!.
Nyota huyu wa PSG jana usiku alimanusura afunge goli kali na la ajabu kama kawaida yake, lakini hakufanikiwa.
Hata hivyo alifunga goli dakika ya 11' Sweden ikishinda 3-1 dhidi ya Iran katika mechi ya kimataifa ya kirafiki.
Hata hivyo alifunga goli dakika ya 11' Sweden ikishinda 3-1 dhidi ya Iran katika mechi ya kimataifa ya kirafiki.

'Kadabra' akiwa katika ubora wake alipiga 'tiki-taka' tamu mno kama inavyoonekana katika picha.

Naye Marcus Berg alifunga goli la pili dakika ya 21' wakati Ola Toivonen alifunga la tatu dakika ya 89.
Bao la kufutia machozi la Iran lilifungwa na Javad Nekounam katika dakika ya 24.

0 comments:
Post a Comment