Friday, April 10, 2015

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mart Nooij, amewataka Watanzania kutoa hofu na kuimini timu yao wakati akiianda kwa ajili ya mechi za awali za kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika 2017 iliyopangwa kufanyika Gabon.

Mart Nooij ameiambia Goal.com kuwa hatishwi na ukubwa wa nchi za Nigeria na Misri kwasababu soka la Tanzania limekuwa kwa asilimia kubwa kiasi cha kuhimili ushindani kutoka kwa mataifa hayo mawili waliyopangwa nayo G.

“Watanzania wanatakiwa kuwa na imani na timu yao soka la siku hizi hakuna mkubwa wala mdogo chamsingi watupe sapoti naamini tunaweza kuwashinda na kuwazidi kwa kucheza hatua ya inayofuata,”amesema Nooij.

Droo ya kupanga makundi imefanyika juzi Cairo, Misri na Gabon ikazipiku Ghana na Algeria kuandaa fainali hizo za AFCON kwa mwaka 2017. Gabon waliwahi kuwa wenyeji wa michuano hiyo wakishirikiana na Equatorial Guinea kwenye fainali zilizofanyika mwaka 2012.

Tanzania ambayo inashika nafasi ya 107 kwenye viwango vya FIFA, imepangwa kundi G pamoja na mataifa ya Nigeria, Misri na Chad ambao wanasemekana ndiyo vibonde kwenye kundi hilo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video