MANCHESTER CITY imeibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mechi ya ligi kuu England iliyomalizika jioni hii uwanja wa Etihad.

Bao la kujifunga la James Collins dakika ya 18' liliwapa Manchester City uongozi, lakini Sergio Aguero alifunga goli la pili 36 kipindi cha kwanza na magoli hayo yamedumu kwa dakika zote 90.
MSIMAMO WA EPL BAADA YA MECHI HII

TAKWIMU ZA MCHEZO WA MAN CITY v WEST HAM UNITED LEO HIZI HAPA
statistics :
3
shots on target
5
6
shots off target
3
66
possession (%)
34
6
corners
3
5
offsides
4
10
fouls
6
2
yellow cards
2
4
goal kicks
6
6
treatments


0 comments:
Post a Comment