Sunday, April 19, 2015


PICHA mbalimbali zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha alichokifanya Juan Mata baada ya Chelsea kuifunga Manchester United Stamford Bridge jana.
Tukio la kufurahisha na lililopendwa na watu wengi ni Mata kuwasubiri wachezaji wa Chelsea baada ya mechi na kumkumbatia kila mchezaji.
Mata alijiunga Old Trafford kutokea Chelsea na kipindi alichokuwa London alishindamara mbili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa klabu ya Chelsea.
Kuangilia video ya tukio hilo bofya hapa chini


0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video