NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi jana alifunga goli lake la 400 Barca akishinda 2-0 dhidi ya Valencia.
Kamera za uwanjani zilimkosa Messi akishangilia goli nyuma ya nyavu za Valencia na zilifanikiwa kumuonesha akishangilia na wenzake akiwa amelala chini.
Video mpya umepatikana ikimuonshwa Leo Messi akiangukia uso wake chini ya sakafu wakati akitaka kushangilia goli lake.
Licha ya maumivu aliyopata, Messi alifurahia hatua ya kuwa na heshima ya mchezaji aliyewahi kufanikiwa zaidi katika ulimwengu wa soka.
Bofya link hiyo hapo chini kuona video hiyo mpya
Bofya link hiyo hapo chini kuona video hiyo mpya
https://pbs.twimg.com/tweet_video/CC81N89UkAA4jMc.mp4https://pbs.twimg.com/tweet_video/CC81N89UkAA4jMc.mp4


0 comments:
Post a Comment