KUFUNGWA kubaya sana! jana Yanga imeifunga Mbeya City 3-1 uwanja wa Taifa.
Kamera zilimnasa kipa wa Mbeya City fc, Hanington Kalesubula ukiushangaa mpira uliotikisha nyavu kwenye moja ya goli la Yanga.
Kipa huyo alionekana kuwa na huzuni huku mashabiki wa Yanga wakishangilia kwa furaha.


0 comments:
Post a Comment