Friday, April 3, 2015

 HUU ndio uwanja wa Mandava utakaotumika katika mechi ya kesho ya marudiano ya raundi ya kwanza ya kombe la Shirikisho baina ya wenyeji, FC Platinum dhidi ya Yanga.
Mechi hiyo itaanza majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania ikiwa ni saa 9:00 kwa saa za Zimbabwe.
Mechi ya kwanza Yanga walishinda 5-1 uwanja wa Taifa Dar es salaam, februari 15 mwaka huu.
Wachezaji wa Yanga baada ya kuwasili uwanja wa Ndege Zimbabwe leo mchana

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video