CHELSEA YAENDELEA KUWATIMULIA VUMBI MAN CITY, ARSENAL, CHEKI MSIMAMO WA EPL ULIVYO... Didier Drogba (katikati) ndiye alikuwa nyota wa mchezo kwa Chelsea na aliwaongoza wachezaji wenzake baada ya ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Leicester City. Ramires akishangilia goli lake Baada ya ushindi huo, msimamo wa EPL wasomeka hivi:
0 comments:
Post a Comment