Friday, April 3, 2015


Chelsea ipo tayari kumruhusu kipa wao, Petr Cech kujiunga na wapinzani wao Arsenal au Liverpool kama tu timu hizo zitakuwa tayari kutoa dau la pauni 10 milioni kwa ajili ya kupata saini ya kipa huyo.
Nyota huyo wa kimataifa Raia wa Czech anataka kuondoka Stamford Bridge mwishoni mwa msimu huu baada ya kujikuta akiangukia katika nafasi ya akiba kufuatia namba yake kuporwa na kipa Thibaut Courtois ambaye alirejea darajani akitokea katika klabu ya atletico madrid nchini uhispania, lakini Petr Cech hayupo tayari kuendelea kusugua benchi.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video