DAR YOUNG AFRICANS wamewasili saa 2:00 usiku kutokea Gaborone na moja kwa moja usiku huu huu wanapitiliza kambini Bagamoyo kujiandaa na mechi ya jumatano dhidi ya JKT Ruvu na ile ya jumapili dhidi ya Simba sc.
Wakati huo huo, Watani wao wa jadi, Simba wametua Visiwani Zanzibar kuweka kambi kabla ya mechi ya jumamosi.

0 comments:
Post a Comment