Nahodha wa Chelsea, John Terry akinyanyua kombe la Capital One Cup baada ya kukiongoza kikosi chake kuifunga Tottenham mabao 2-0 katika fainali ilyopigwa jana uwanja wa Wembley

Shanga zikaanza baada ya kutwaa medali msimu huu

Kocha Jose Mourinho akinyanyua kombe alilotwaa tangu arejee kwa mara ya pili kuifundisha Chelsea


Mourinho alionekana mwenye hisia kali baada ya kutwaa kombe la Capital One

Branislav Ivanovic akishangilia baada ya kutwaa ndoo

Mourinho

Wachezaji wa Chelsea , Cesc Fabregas (kushoto), Cesar Azpilicueta (katikati) na Diego Costa wakiwa na bendera yao ya ushindi
0 comments:
Post a Comment