KOCHA mwenye maneno mengi, kiburi na jeuri duniani , Jose Mourinho alionesha 'staili' nyingine ya kushangilia, cheki alivyolala uwanjani na kunyoosha mguu juu baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la ligi ikiifunga Tottenham 2-0 katika fainali iliyopigwa uwanja wa Wembley jana usiku

Hapa akawaambia wachezaji ' Wanangu hapa oya oya tu! twende kazi

Mourinho akishangilia ubingwa wa kombe la ligi jana
0 comments:
Post a Comment