Sunday, March 1, 2015

MABAO mawili ya Olivier Giroud katika dakika ya 39' na Thomas Rosicky dakika ya 89' yametosha kuipa ushindi Arsenal dhidi ya Everton katika mechi ya ligi kuu England iliyopigwa uwanja wa Emirates mjini London leo jioni.
Leo Arsenal hawakucheza vizuri kama kawaida yao, walizidiwa umiliki wa ambapo walikuwa na asilimnia 48 dhidi ya 52 za wageni.
Walipiga mashuti 5 tu yaliyolenga lango, wakati Everton walipiga 2.
Giroud struggled in Arsenal's midweek defeat by Monaco but showed his delight at the Emirates after firing the Gunners in front
MSIMAMO BAADA YA MECHI ZA LEO

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video