Sunday, March 1, 2015

HATIMAYE ndoto ya Jose Mourinho kutwaa kombe la ligi 'Capital One Cup' imetimia usiku  huu uwanja wa Wembley mjini London.
Mourinho alibainisha kuwa fainali ya Capital One Cup ni muhimu kuliko fainali zote alizocheza nyuma, hivyo lazima ashinde.
Chelsea imeichapa Tottenham Hospurs mabao 2-0 katika mechi ya fainali ya kombe la ligi iliyomalizika usiku huu Wembley.
Terry is joined by Costa and Gary Cahill as the blue half of Wembley erupts thanks to the Chelsea captain's effort
Bao la kwanza la Chelsea lilitiwa kambani na Jonh Terry katika dakika ya 45'.
Chelsea walikwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao 1-0.
Kipindi cha pili kilipoanza, mshambuliaji anayetumia nguvu na anasema hawezi kuacha kutumia staili hiyo kwani ndio imemuweka awe miongoni mwa washambuliaji hatari duniani, Diego Costa alifunga goli la pili dakika ya 56'.
Costa ambaye ametokea katika kifungo cha mechi tatu alionesha cheche na thamani yake kwa Chelsea.
Licha ya ushindi huo, Spurs ndio walicheza mpira mkubwa na walimiliki kwa asilimia 63 kwa 37 za Chelsea.
Hata hivyo Chelsea walikuwa wajanja kwani walipiga mashuti 5 yaliyolenga lango dhidi ya 2 ya watakutu wa London.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video