Sunday, March 1, 2015

Phillipe Coutinho alifunga bao la ushindi na
kuiwezesha Liverpool kuharibu matumaini ya
Mancity kulitetea taji lake katika uwanja wa
Anfield..

Bao la Jordan Henderson liliiweka mbele

Liverpool kabla ya Edwin Dzeko kusawazisha.

Lakini Mchezaji wa Brazil Coutinho alipachika
bao la kuvutia alipofunga kutoka nje ya eneo la
hatari.
Coutinho, along with the Manchester City defence, watch on as the Brazilian's shot arrows towards the Manchester City net

Matokeo hayo yanaiweka Mancity pointi 5 nyuma
ya Chelsea huku wakiwa wamecheza mechi moja
zaidi nayo Liverpool ikipanda hadi nafasi ya tano
katika jedwali.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video