
Mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic amechora Tatuu yenye majina 50 ya watu waliofariki kwa njaa duniani kote ikiwa ni kuunga mkono juhudi za mpango wa Chakula wa Umoja wa mataifa na alizionesha baada ya kufunga dhidi ya Caen

Majina 50 yameandikwa katika Tatuu ya muda ya Ibrahimovic


0 comments:
Post a Comment