WASHIKA bunduki wa London, Arsenal chini ya kocha Mfaransa, Arsene Wenger wameigonga Middlesbrough mabao 2-0 katika mechi ya kombe la FA iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates.
Mabao yote mawili yamefungwa na mshambuliaji hatari, Mfaransa Olivier Giroud katika dakika ya 27' na 27' kipindi cha kwanza.

0 comments:
Post a Comment