Sunday, February 15, 2015

ew
ASTON Villa imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City katika mechi ya kombe la FA nchini England leo.
Mabao ya Aston Villa yamefungwa na Leandro Bacuna katika dakika ya 68' wakati Scott Sinclair alifunga goli la pili na la ushindi dakika ya 90.
Bao la kufutia machozi kwa Leicester City limefungwa na Andrej Krasmaric katika dakika ya 90'.
Katika mechi nyingine, Bradford City imeichapa 2-0 Sunderland.
John O'Shea alijifunga goli na goli la pili la Bradford limefungwa na Jonathan Stead.
Mechi inayaoendelea sasa ni baina ya Arsenal na Middlesbrough na mpaka dakika ya 60' Arsenal walikuwa mbele kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Olvier Giroud dakika ya 27' na 29'.
Mtandao huu utakuletea matokeo ya mechi baada ya kukamilika kwa dakika 90'.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video