TAARIFA MAALUM
Uongozi
wa Yanga hautaonyesha live mchezo kati ya Yanga kutoka Tanzania na BDF XI ya Botswana itayopigwa kesho uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hivyo basi kwa wale wote ambao walikuwa wakisubiria kuutazama mpira kwenye vibanda vya kulipia au majumbani hawataweza kuona mechi hiyo moja kwa moja kwa siku ya jumamosi. Tunatoa taarifa hii ili kuepusha usumbufu kwa wale wote wanaotegemea kutazama mpira huo majumbani.

IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI NA MAWASILIANO YANGA MAKAO
MAKUU.
0 comments:
Post a Comment