Monday, February 16, 2015

WEKUNDU wa Msimbazi Simba sc wanaanza safari kesho kuwafuata Stand United ya Shinyanga ili kuwania pointi tatu katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara itakayopigwa jumapili ya wiki hii uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.

Afisa habari wa Simba, Humphrey Nyasio amesema wanaanza safari hiyo huku wenyeji wao ‘Chama la Wana’  wakiwa tayari wameshapata salamu za kipigo baada ya Mnyama kuitandika Polisi Moro 2-0 katika mechi ya ligi kuu Tanzania bara jana uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


“Naamini Stand wamezipata salamu tangu jana. Katika kila mchezo tunajitahidi kufanya vizuri. Stand United wajiandae kuachia pointi zetu tatu”. Amesema Nyasio.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video