
KOMBE la FA nchini England linaendelea leo kwa mechi moja ambapo mabingwa wa zamani wa ligi ya England, Manchester United wanachuana na Preston North End katika uwanja wa Ugenini.
Mechi hiyo inatarajia kuanza majira ya saa 4:45 usiku wa leo.
Kocha wa Man United, Mholanzi, Louis van Gaal amesema hataki masihara katika mechi ya leo na anatumia nyota wake wote kuhakikisha anapata ushindi ili kuendelea kujitengenezea mazingira mazuri ya kutwaa kombe hilo.

0 comments:
Post a Comment