Monday, February 16, 2015

KAGERA Sugar imefurahia kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kuichapa JKT Ruvu bao 1-0 jana uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.

Matokeo hayo yameifanya Kagera Sugar ifikishe pointi 21 katika nafasi ya tatu, pointi nne nyuma ya vinara Azam fc na Yanga waliopo nafasi ya pili kwa pointi 25, lakini wanazidiwa mabao ya kufunga na kufungwa.

Simba wameshika nafasi ya nne kwa kujikusanyia pointi 20 na hii ni kutokana na ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro dhidi ya wenyeji Polisi Moro.

Kocha msaidizi wa Kagera Sugar, Murage Kabange amesema sasa wanaelekeza nguvu katika mechi yao ya mwishoni mwa wiki dhidi ya Polisi Moro uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga.


“Tunashukuru tumeshinda jana dhidi ya JKT Ruvu. Bao la ushindi lilifungwa na Atupele Green dakika ya 30”. Amesema Kabange na kuongeza. “Ushindi huu umetuweka nafasi ya tatu, ni jambo jema na tunatakiwa kuongeza juhudi zaidi”.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video