Sunday, February 22, 2015

KOCHA mkuu wa Simba, Goran Kopunovic amesema hafurahishwi na mashabiki wa klabu hiyo wanaochukia pale klabu hiyo inaposhindwa kupata matokeo mazuri, lakini ikishinda wanashangilia sana.
Akizungumza na mtandao huu, Kopunovic amesema mpira wa miguu kuna kupanda na kushuka na hii ni ligi, hivyo kila timu inaweza kupata matokeo.
"Tunaijenga Simba yenye vipaji vikubwa, kuna wakati tunashinda, kuna wakati tunafungwa, kuna wakati tunatoa sare, sasa utakuta mashabiki wanapiga makelele sana. Hili jambo sio zuri, wanatakiwa kuisapoti timu kwa nyakati zote".
"Niwambie ukweli mashabiki wangu, Simba ni timu nzuri mno, ina vijana wa kiwango cha juu, cha msingi ni kuwapa muda ili waendelee kuielewa falsafa yake". Amesema Kopunovic.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video