Saturday, February 14, 2015

kikosi-azam-fc
MABINGWA wa ligi kuu  Tanzania bara, Azam fc wametamba kwamba wakati wa kulipa kisasi kwa El Merreick ya Sudan umefika na lazima wapigwe katika mechi yao ya kwanza ya ligi ya mabingwa itayopigwa kesho uwanja wa Azam Complex.
Meneja wa Azam fc, Jemedari Said Mzumari amesema Merreick waliwatoa robo fainali ya kombe la Kagame mwaka jana na kuwapandisha ndege kurudi Dar es salaam, hivyo ni wakati wao kulia pia.
"Sisi tuna kisasi na El Merreick, walitutoa robo fainali Kagame mwaka jana, tumejiandaa vizuri kuwaondoa. Wenzetu Yanga wamepata ushindi mzuri, nasisi tutacheza kufa na kupona kesho" . Amesema Jemedari.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video