Bondia Juma Fundi na Issa Omari wakitunisha misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa mara ya pili siku ya septemba 27 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha nawww.superdboxingcoach. |
Mabondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Adamu Ngange wakati walipotambulisha mpambano wao mbele ya waandishi wa habari Dar es salaam jana litakalofanyika friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Juma Fundi na Issa Omari wakitunishiana misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa ajili ya kuzipiga siku ya septemba 27 katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam Picha nawww.superdboxingcoach. blogspot.com
0 comments:
Post a Comment