Thursday, August 7, 2014


On his way? Arsenal defender Thomas Vermaelen could be moving to Barcelona
Yupo njiani? Beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen anaweza kujiunga na Barcelona.

Imechapishwa Agost 7, 2014, saa 2:46 usiku

WAWAKILISHI wa Barcelona wapo mjini Londo kufanya mazungumzao ya kujaribu kumsajili Thomas Vermaelen kutoka Asernal ingawa wanakabiliana na Manchester United wanaohitaji saini ya beki huyo.
Beki huyo mwenye miaka 28 amekuwa akihusishwa kuwindwa na klabu za Katalunya na United majira haya ya kiangazi, na Aserne Wenger ameshatibitisha kuwepo kwa dili hizo.
Barcelona imemtuma mkurugenzi Raul Senlleh mjini London  ili kufanya mazungumzo na Asernal

Nowhere to be seen! Vermaelen wasn't training with Arsenal on Thursday because of a hamstring injury
Vermaelen hakufanya mazoezi na Asernal siku ya jumanne kutokana na kusumbuliwa na majeruhi ya nyama za paja.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video