
Muonekano mpya: Bale amejazia kinoma tofauti na msimu uliopita na yupo tayari kwa ajili ya mechi ya fainali ya UEFA Super Cup mjini Cardiff wiki ijayo dhidi ya Sevilla.
Imechapishwa Agosti 7, 2014, saa 3:00 usiku
WAKATI wachezaji wenzake wengi wa Real Madrid walikuwa kupambana katika fainali za kombe la dunia, Gareth Bale yeye alikuwa anahudhuria 'Gym' kujenga mwili.
Nyota huyo akiwa katika mazoezi leo alhamisi alikuwa na muonekano tofauti na msimu uliopita.

Bale akionesha mwili wake uliojengeka kwa mazoezi ya 'Gym'
Nguvu: Bale akipasha moto misuli
0 comments:
Post a Comment