
Umoja wa mashabiki
wa Manchester United wasioutaka umiliki wa wamerekani#TheGlazers wameandaa maandamano ya kuupinga utawala huo siku ya mechi ya dhidi ya
QPR - mashabiki hao wamekuwa wakihamasisha wenzao dunia nzima kupitia mitandao
ya kijamii hasa Twitter ambapo wana kampeni ya #GlazersOut wakisisitiza klabu
yao kufanya usajili wa maana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

0 comments:
Post a Comment