WAWAKILISHI wa Tanzania katika
Michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayoendelea kushika kasi nchini
Sudan, Mbeya City fc watachuana na Victoria University ya Uganda katika
hatua ya robo fainali ya mashindano hayo.
Hizi hapa ndio mechi za robo fainali
Quarter final pairings
AFC Leopards [Kenya] VS Defence [Ethiopia]
Al Merreikh [Sudan] VS AcademieTchite [Burundi]
SC Victoria University [Uganda] VS Mbeya City [Tanzania]
Al AhliShandi [Sudan] VS Malakia [South Sudan]
0 comments:
Post a Comment