Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini
 mwishoni mwa mkutano wa wakuu wan chi za jumuiya ya Madola uliomalizika
 jijini Colombo Srilanka leo.  
 
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na katibu mkuu wa Jumuiya za madola 
Dkt.Kamalesh Sharma jijini Colombo Srilanka mwshoni mwa mkutano wa wakuu
 wa nchi hizo leo.  
 
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Australia Tony 
Abbott(kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand John Key(wapili kushoto) 
muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya 
madola jijini Colombo nchini Srilanka leo mchana.Watatu kushoto pembeni 
ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernard
 Membe.  
 
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Malaysia 
Mohamed  Najib Abdul Razak mwishoni mwa mkutano wa jumuiya ya Madola 
uliofanyika jijini Colombo Srilanka(picha na Freddy Maro)





0 comments:
Post a Comment