Monday, August 19, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail.com
Hatimaye maneno makali ya mashabiki wa Arsenal kumtaka kocha wao, Mfaransa, Aserne Wenger kusajili wachezaji wapya majira haya ya kiangazi hasa baada ya kufungwa mchezo wa kwanza na Aston Villa mabao 3-1 yamemuingia akilini baada ya leo hii kuanza jaribio la kusajili.
Mtandao wa Fullshangwe kupitia mtandao rafiki wa Sportsmail unafahamu kuwa klabu ya  Newcastle imekataa ofa ya Arsenal ya pauni milioni 12 ya kutaka kumsajili nyota wake Yohan Cabaye.
Nyota huyo raia wa Ufaransa alijiunga na kocha wa Newcastle,  Alan Pardew akitokea klabu ya Lille inayoshiriki ligi kuu ya Ufaransa miaka miwili iliyopita na amekuwa akizivutia klabu kadhaa za ligi kuu soka nchini England wakiwemo mabingwa Manchester United.
Kiwango cha Cabaye kimemvutia kocha Arsene Wenger ambaye amesajili mchezaji mmoja tu majira haya ya kiangazi, lakini  Newcastle wamekataa ofa yake na leo hii anaanza katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu dhidi ya  Manchester City.
Rejected: Arsenal have been unsuccessful in their bid for Newcastle's Yohan CabayeJembe halitoki: Arsenal wamegonga mwamba katika jaribio lao la kutaka kumsajili nyota wa  Newcastle,  Yohan Cabaye

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video