Baadhi
ya wadau wakiwa wameacha maduka yao na kusogelea Runinga zao ili
kushuhudia ujio wa Rais wa Marekani Barack Obama ambaye atakuwepo nchini
kwa ziara ya siku mbili
Kila mtu yuko bize kuchukua tukio ili kupata kumbukumbu
Mzee wa busara akishuhudia ujio wa Obama
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU
0 comments:
Post a Comment