Waziri
 wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki 
ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef  wakati wa 
utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 
450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, 
Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa 
ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha 
Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Utiaji saini huo 
ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.  
 
 
 
Waziri
 wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa 
Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef  mara
 baada ya kumalizika  utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania 
dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo 
ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 
300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo 
cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 
Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini 
Dar es Salaam.
 
 
 
 
Baadhi
 ya maofisa kutoka Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika  (BADEA) 
wakifuatilia   utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za
 kimarekani 450,000/= kwa ajili ya miradi ya maji katika maeneo ya 
Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani Mara na dola za kimarekani 
300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi kwa ajili ya kusaidia kituo 
cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo Kikuu cha Dar es Salaam. 
Utiaji saini huo ulifanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency jijini 
Dar es Salaam.  
 
 
 
Waziri
 wa Maji Prof. Jumanne Maghembe akipongeza Waziri wa Fedha Dk. William 
Mgimwa (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa    utiaji saini wa 
makubaliano ya kuisaidia Tanzania dola za kimarekani 450,000/= kwa ajili
 ya miradi ya maji katika maeneo ya Mugango, Kiabakari na Butiama mkoani
 Mara na dola za kimarekani 300,000/= kwa ajili ya msaada wa kiufundi 
kwa ajili ya kusaidia kituo cha Hesabu cha Pan African kilichopo chuo 
Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Hoteli ya Hyatt Regency
 jijini Dar es Salaam. Kuli ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa 
Maendeleo ya Afrika  (BADEA) Abdelaziz Khelef.
Picha na Anna Nkinda – Maelezo
Picha na Anna Nkinda – Maelezo





0 comments:
Post a Comment