Tuesday, February 7, 2017

Bodi ya Ligi imeeleza kwamba mchezo namba 171 (JKT Ruvu vs Mbao FC) uliokuwa uchezwe Jumamosi Februari 11 Mwaka huu katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga umesogezwa mbele kwa siku moja na sasa utachezwa Februari 12 Mwaka huu kwenye Uwanja huo huo.
Taarifa Rasmi ambayo MPENJA SPORTS imeipata kutoka ndani ya Bodi ya Ligi (TPLB) inaeleza kuwa Sababu ya Mabadiliko hayo ni kupisha mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza kati ya Mgambo Shooting na Polisi Dodoma utakaopigwa Februari 11 mwaka huu kwenye Uwanja huo huo.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video