Tuesday, February 7, 2017

Claudio Ranieri amepewa mechi tatu tu kuonesha mabadiliko kwenye kikosi chake cha Leicester City (Pichani Chini).
  • Ripoti zinadai, Kocha mkuu wa Mabingwa Watetezi wa Ligi kuu soka ya England (EPL), Leicester City, Claudio Ranieri amepewa mechi tatu tu za kuonesha mabadiliko kwenye kikosi hicho ambacho sasa kipo hatarini kushuka daraja.
  • The Foxes hit rock bottom recently after being humiliated by Manchester United at home
  • Leicester, timu iliyowashangaza wengi mwaka jana, mpaka sasa imejikuta ipo pointi mbili tu juu ya Mstari wa kushuka daraja. 



  • Hata hivyo Mmiliki wa Leicester amempa uhakika Muitaliano huyo wa kuendelea kuifundisha timu endapo ataibadili muelekea wa kikosi na kiwango cha klabu.
  • Mwa miezi kadhaa sasa baadhi ya watu ndani ya timu wanadai kwamba Ranieri amekuwa akibadili sana mbinu zake na kuwapa wakati mgumu wachezaji wake.
  • 0 comments:

     
    voyeur porn porn movies sex videos hd porno video