
Manchester City chini ya Pep Guardiola imeendeleza wimbi la ushindi tena leo baada ya kuwaburuza vibaya AFC Bournemouth kwa mabao 4-0.
Mabao ya Man City yalifungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 15, Kelechi Iheanacho dakika ya 25, Raheem Sterling dakika ya 48 na Ilkay Guendogan dakika ya 26.
Mshambuliaji wa mpya wa Man City Nolito alitolewa nje kwa kadi nyekundi dakika ya 86 baada ya kufamfanyia vitendo visivyo vya kimichezo mchezji wa Bournemouth Adam Smith.


0 comments:
Post a Comment