Saturday, September 17, 2016

Dondoo muhimu
  • Manchester City wameshinda michezo yao nane ya mwanzo msimu huu kwenye michuano yote, mara ya kwanza kwa timu ya Ligi Kuu England kufanya hivyo tangu ilivyotokea kwa Chelsea msimu wa 2005-06, ambapo walifanya hivyo kwa michezo tisa.
  • Kelechi Iheanacho amefunga magoli 10 kwenye Premier League akiwa amepiga mashuti 14 yaliyolenga lango kwenye michuano hiyo.
  • Ilkay Gundogan amekuwa mchezaji wa kwanza wa Manchester City kufunga goli kwenye mchezo wake wa kwanza wa Premier League tangu Javi Garcia alivyofanya hivyo Septemba 2012.
  • Bournemouth wamepata clean sheet moja tu kwenye michezo yao 14 iliyopita ya Premier League.
  • Jack Wilshere ameshindwa kumaliza dakika 90 kwenye mchezo wowote kati ya 18 iliyopita ya Premier League, mara ya mwisho kucheza dakika zote kwenye Ligi Kuu ilikuwa ni Septembe 13 2014 dhidi ya Manchester City.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video