Wednesday, September 21, 2016

Mabao mawili ya Cesc Fabregas katika muda wa ziada yaliwapa Chelsea ushindi mnono baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuwafunga Leicester pungufu na kutinga raundi ya nne ya Kombe la EFL.

Bao safi la kichwa la Shinji Okazaki na lingine alilofunga kwa kudundisha mpira yaliwafanya Leicester kuwa kifua mbele, lakini goli la kichwa la Gary Cahill liliwafanya Chelsea kwenda mapumzikoni wakiwa nyuma kwa mabao 2-1.

Cesar Azpilicueta aliisawazishia Chelsea baada ya kuachia shuti kali kabla ya beki wa Leicester Marcin Wasilewski kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo Diego Costa.

Fabregas alifunga bao la nne kwa Chelsea na kuzima matumaini yote ya Leicester kuibuka mshindi katika uwanja wao wa nyumbani.

Fabregas amekuwa mchezaji bora wa mechi baada ya kufunga mara mbili na kutoa pasi moja ya goli la Gary Cahil.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video