Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu ya Simba Zacharia Hans Poppe wakati huo akiwa mwanajeshi akisaliamiana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Tanzania wakati huo Otema Allimadi kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda. Hans Poppe alikuwa akiupokea mwili wa marehemu baba yake ambaye alifariki kwenye vita ya Kagera ambayo ilikuwa ikihusisha nchi za Tanzania na Uganda.
Tuesday, July 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment