
Gary Cahill akishangilia baada ya kufungia Chelsea goli pekee la ushindi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Liverpool.

Gary Cahil akiunganisha kwa umaridadi na kufunga mpira wa kona uliopigwa na Cesc Fabregas na kumzidi ujanja beki wa Liverpool Loris Karius.

Fabregas akimfanyia faulo mchezaji wa Liverpool Ragnar Klavan na kusababisha kutolea nje kwa kadi nyekundu.

Refarii Baldomero Toledo akimuonesha Fabregas kadi nyekundu baada ya kumfanyia faulo mbaya mchezaji wa Liverpool Klavan


Klopp (kulia) wakifurahi kwa pamoja na kocha wa Chelsea Antonio Conte kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Chelsea na Liverpool.
0 comments:
Post a Comment